#Local News

UVAMIZI DHIDI YA OSOTSI: DCI YAWAZUILIA WATATU

Washukiwa watatu wanaendelea kuhojiwa na maafisa wa upelelezi baada ya kukamatwa hapo jana kuhusiana na shambulizi dhidi ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi katika mkahawa mmoja jijini Kisumu Jumatano.

Watatu hao walikamatwa na maafisa wa DCI kutoka Kisumu, uchunguzi wa awali ukionyesha walikuwa miongoni mwa washukiwa wengine wanaoendelea kusakwa.

Kulingana na Osotsi anayeendelea kutibiwa jijini Nairobi, shambulizi hilo lilikuwa jaribio la kumwangamiza.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *