OBURU AHUDHURIA MKUTANO WA VIJANA WA ODM
Mkutano wa vijana wa chama cha ODM unaendelea hapa jijini Nairobi huku ukihudhuriwa na viongozi wa chama wakiongozwa na Kiongozi wa chama Oburu Oginga.
Viongozi wa vijana wamesema kuwa watetea maslahi ya chama huku wakitaka heshima kwa kiongozi wa chama hicho.
Aidha wamesema kuwa wanamuunga mkono Oburu na watafuata mwelekeo wake ifikapo mwaka 2027.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 

































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































