#Local News

MBAYA KIMWELE AJENGA MABWAWA YA MAJI KWA WAFUGAJI KITUI

Kitui imetajwa kuongoza nchini katika ufugaji wa mbuzi aina ya Gala kulingana na Waziri wa kilimo wa kaunti hiyo Mbaya Kimwele.

Wizara hiyo inaendelea kuchimba mabwawa ya maji katika maeneo yanyojulikana kwenye  ufugaji ili kuimarisha shughuli hiyo katika maeneo kame.

Akizungumza alipokuwa akizindua ujenzi wa bwawa la Kasiatu huko Treikuru Mwingi Kaskazini Mbaya amesema mabwawa zaidi yanaendelea kujengwa katika maeneo maarufu kwa ufugaji.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *