MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO OLKALAU YAENDELEA
Hatimaye tume ya uchaguzi nchini IEBC imewaidhinisha wagombea 9 wa kuwania kiti cha ubunge wa Olkalau baada ya kukamilisha shughuli ya uhakiki wa nyaraka zao.
Miongoni mwa wagombea 9 walioidhinishwa ni Rechael Wangoi Njoroge wa chama cha PDP, Sammy Kamau Ngodho wa DCP,Samuel Muchina wa UDA, Wilson Kigwa wa Jubilee Abdee Fata Husein ambaye ni wa Federal Party of kenya miongoni mwa wengine.Shughuli ya uwidhinishaji wa wagombea hao ilifanyika katika eneo la Olkalau chini ya afisa musimamizi wa IEBC Muihia Njiraini huku tume hiyo ikisema wagombea hao 9.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































