#Local News

DCP YAMTAKA WAZIRI WA ELIMU KUJIUZULU

Chama cha DCP kinataka uchunguzi wa kina kufanyika kutokana kuhusiana na chanzo cha moto katika shule ya Upili ya wasichana ya  Utumishi.

Akizungumza katika makao makuu ya chama hicho Katibu mkuu John Metho ametaka wizara ya usalama kutoa taarifa ya kina kuhusiana na waraka wa serikali kukabiliana na majanga.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *