#uncategorized

CRYSTAL PALACE YATWAA CONFERENCE LEAGUE NA KUANDIKA HISTORIA

Crystal Palace wameandika historia mpya baada ya kutwaa ubingwa wa UEFA Europa Conference League, taji ambalo linaongeza mafanikio yao makubwa ya mwaka 2025.

Kabla ya mwaka huu, Crystal Palace hawakuwa wamewahi kushinda taji lolote kubwa katika historia yao, lakini sasa wamefanikiwa kutwaa mataji matatu ambayo ni FA, Community Shield na Conference League ndani ya kipindi kifupi.

Kocha Oliver Glasner amepongezwa kwa kazi kubwa aliyofanya ya kuibadilisha klabu hiyo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *