#Local News

MWANAUME MACHKOS ATAKA HAKI BAADA YA KUCHOMWA NDEVU

Mwanaume mmoja mjini Machakos anayefahamika kama John Kyalo anataka haki baada ya kuvamiwa na kuchomwa ndevu alipokuwa amepumzika katika eneo moja mjini humo.

Kyalo amesema mtu anayedai kumfahamu aliwasha moto kwenye ndevu zake ambazo amekuwa akizitunza kwa miaka mingi.

Tukio hilo sasa limezua mjadala huku akiitaka sheria kuchukua mkondo wake dhidi ya mhusika.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *