BUNGE LAJADILI NJIA ZA KUPUNGUZA GHARAMA YA MAFUTA
Kizaazaa kimeshuhudiwa Bungeni wakati wabunge waliingia katika mjadala mkali kuhusu hatua za kupunguza gharama ya mafuta nchini.
Hoja hiyo iliyowasilishwa na Mbunge wa Ndia George Kariuki ilifichua mgawanyiko mkubwa kuhusu mapendekezo ya kupunguza ushuru wa mafuta.
Wakati huo huo, pendekezo la Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro la kupunguza matumizi katika taasisi za serikali lilipingwa vikali na viongozi wa walio wengi pamoja na walio wachache bungeni.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































