#Local News

UKOSEFU WA MAJI SAFI WAZUA HOFU YA MAGONJWA VIHIGA

Walimu wazazi  na maafisa  wa afya  katika kaunti ya vihiga wanaiomba serikali ya kaunti hiyo kuangazia swala la ukosefu wa maji safi na vifaa bora vya  usafi wa mazingira swla ambalo limekuwa tishio katika shule nyingi eneo hilo ikiwemo shule ya musingi ya kuitukha .

Viongozi hao sasa wanaonya kuhusu hatari ya kuongezeka kwa magonjwa yanayotokana na maji chafu.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *