#Local News

COTU IMEITAKA SERIKALI KUONDOA USHURU KWA WAFANYAKAZI WA KIPATO CHA CHINI

Chama cha  Wafanyakazi nchini COTU limeitaka serikali kutoa afueni ya ushuru kwa wafanyakazi wa kipato cha chini na cha kati baada ya kutoridhishwa na Mswada wa Fedha wa mwaka 2026 uliowasilishwa bungeni.

COTU inapendekeza wafanyakazi wanaopokea mshahara wa hadi shilingi elfu sitini kwa mwezi wapunguziwe kiwango cha ushuru wa  ili kuongeza kipato wanachobaki nacho kila mwezi.


Mapema mwaka huu Rais William Ruto alikuwa ametangaza mpango wa kuwaondolea ushuru wafanyakazi wanaopokea chini ya shilingi elfu thelathini na kupunguza kiwango cha PAYE kwa wanaopokea hadi shilingi elfu hamsini lakini hatua hiyo bado haijatekelezwa.

\

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *