GAVANA KIHIKA AAHIDI KUSAIDIA FAMILIA ZA WAATHIRIWA WA MOTO GILGIL
Huko Nakuru gavana Susan Kihika amesema serikali yake itashirikiana kikamilifu na serikali ya kitaifa katika kuzisaidia familia zilizoathirika na mkasa wa moto.
Kauli yake imesisitizwa na Waziri Murkomen akisema serikali inalenga kuwasaidia wazazi na wanafunzi na huduma za ushauri nasaha wakati huu ambapo zinaendelea kukumbwa na wakati mugumu.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































