#Sports #Volleyball

KCB WALENGA KUTETEA TENA TAJI LA KIPCHUMBA KARORI

Timu ya wanawake ya voliboli ya KCB imeelekeza macho yake katika kutetea taji la
Mashindano ya Kimataifa ya Kipchumba Karori yanayofanyika mjini Eldoret mwishoni mwa
wiki hii, ikilenga kudumisha ubabe wao katika anga ya voliboli ya ukanda wa Afrika
Mashariki.
Mashindano hayo yamepangwa kuanza Ijumaa, Disemba 19 hadi Jumapili, Disemba 22, na
yanatarajiwa kuvutia klabu bora kutoka Kenya, Uganda na Sudan Kusini.
Mashindano ya Kipchumba Karori yanaendelea kukua kwa hadhi, yakivutia zaidi ya timu
170 mwaka huu, zikiwemo nne kutoka Uganda na mbili kutoka Sudan Kusini, ishara ya
mvuto wake unaoongezeka katika eneo la ukanda.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

KCB WALENGA KUTETEA TENA TAJI LA KIPCHUMBA KARORI

KENYA YAANZA UTETEZI WA UBINGWA WA ROLL

KCB WALENGA KUTETEA TENA TAJI LA KIPCHUMBA KARORI

MAAFISA WA KLINIKI WATANGAZA MGOMO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *