#Local News

KINDIKI AWAHIMIZA WAKENYA KUJISAJILI KAMA WAPIGA KURA

Naibu Rais, Kithure Kindiki, amewataka Wakenya ambao bado hawajasajiliwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika orodha ya wapigakura kabla ya muda uliowekwa kukamilika.

Kindiki amesema kuwa wale watakaoshindwa kujiandikisha hawatakuwa na uwezo wa kuchagua viongozi wanaowataka katika uchaguzi ujao.

Akizungumza katika kaunti ya Tharaka Nithi, wakati wa sherehe za Pasaka, Naibu Rais amewahimiza wananchi kuchukua hatua mapema ili kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kidemokrasia.

KINDIKI AWAHIMIZA WAKENYA KUJISAJILI KAMA WAPIGA KURA

RUTO AONYA MAFISADI WA MAFUTA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *