#uncategorized

KINDIKI: DARAJA LA NITHI KUJENGWA KARIBUNI

Naibu rais Kithure Kindiki ametoa hakikisho kuwa ujenzi wa daraja la Nithi lenye urefu wa kilomita 3 utarejelewa hivi karibuni kufuatia kutamatika kwa mchakato mrefu wa utoaji zabuni.

Aikizungumza nyumbani kwake katika eneo la Irunduni kwenye kikao na viongozi wa mashinani kutoka eneo la Maara, Kindiki amehusisha kuchelewa huko na miundo ya daraja hilo ambayo haikuwa imekubaliwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *