#Local News

WAUGUZI KNH KUANZA MGOMO

Huenda huduma za matibabu katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta zikatatizika kuanzia leo kutokana na mgomo wa wauguzi, wanaodai kwamba mishahara yao imecheleweshwa.

Katibu mkuu wa muungano wa kitaifa wa wauguzi, Seth Panyako, amelalamikia madai hayo akiongeza kuwa malipo ya uzeeni hayajalipwa na kwamba wauguzi wanahudumu kwa kandarasi bila kupewa ajira ya kudumu zaidi ya muda unaostahili.

Tayari tangazo la mgomo kwenye hospitali hiyo kubwa nchini limeibua hofu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAUGUZI KNH KUANZA MGOMO

RUTO ZIARANI ENEO LA GUSII

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *