#Local News

BEI YA MAFUTA: RUTO ATAKIWA KUPANDISHA MISHAHARA

Rais William Ruto ametakiwa kupandisha kiwango cha chini cha mishahara ya wafanyakazi wa ngazi ya chini kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha.

Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi, COTU, Francis Atwoli, amesema kuwa ongezeko la bei ya mafuta litapandisha gharama hiyo moja kwa moja.

Ametaka hatua hiyo kutangazwa rasmi kabla ya maadhimisho ya Leba dei mwezi ujao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

BEI YA MAFUTA: RUTO ATAKIWA KUPANDISHA MISHAHARA

JUNIOR STARLETS WAREJEA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *