#Local News

IEBC YASISITIZA USIRI WA KURA

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC imesisitiza dhamira yake ya kulinda usiri wa kura, ikitetea pendekezo la kupiga m

arufuku upigaji picha wa karatasi za kura zilizopigwa.

Kamishna wa IEBC Anne Nderitu amesema kulinda uadilifu wa mchakato wa uchaguzi ni muhimu zaidi kuliko matakwa binafsi ya kushiriki chaguo la kura mitandaoni.

Alionya kuwa kuruhusu wapiga kura kupiga na kusambaza picha za kura zao kunaweza kudhoofisha sheria pamoja na imani ya umma katika chaguzi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *