JARIBU TENA UTAJUTA; WAKAAZI WA TURKANA YA KATI WAMWONYA MBUNGE WAO DHIDI YA KUFUATA SERIKALI
Baadhi ya wakaazi wa eneo bunge la turkana ya kati wamejitokeza kukubali msamaha wa mbunge wa eneo hilo baada ya kuwaomba msamaha kwa kuunga mkono mswada wa fedha.
Wakaazi hao aidha wamemwonya kutoweka maslahi yake binafsi mbele na badala yake kuyapa kipaumbele maslahi ya wananchi waliomchagua.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































