#Local News

MWANAMUME AKAMATWA KILIFI AKIWA NA BUNDUKI, RISASI TANO

Polisi eneo la Bamburi kaunti ya Kilifi wamemkamata mshukiwa aliyekuwa na bunduki iliyosheheni risasi tano.

Stephen Mutunga Kimeu mwenye umri wa miaka 43 amenaswa kando ya Barabara ya Old Malindi.

Kulingana na Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), maafisa wa upelelezi waliopokea taarifa kutoka kwa umma wamemkamata mwanamume anayeaminika kuwa njiani kuelekea Lamu kwa vile alikuwa na tikiti mbili za basi la Buscar.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *