#Local News

GAVANA NATEMBEA AWATAKA WAKULIMA KUTOUZA MAHINDI YAO KWA MAWAKALA WATAPELI

Wito umetolewa kwa Wakulima wa mahindi kutoka kaunti ya Transnzoia kutouza mahindi yao kwa mawakala ambao watawapunja.

Gavana wa kaunti hiyo George Natembea amesema kuwa serikali yake imeweka mikakati ya kuwekeza katika kiwanda cha kujongeza mahindi thamani akiongeza kuwa wakulima watapata faida ya mazao yao.

Wakulima wanapendekeza kilo 90 za mahidi kuunzwa kwa shilingi 6000 na wala sio 4000 kama ilivyokuwa msimu uliopita.

Imetayarishwa na Janice Marete

GAVANA NATEMBEA AWATAKA WAKULIMA KUTOUZA MAHINDI YAO KWA MAWAKALA WATAPELI

EKURU: HUENDA GACHAGUA AKATEMWA 2027

GAVANA NATEMBEA AWATAKA WAKULIMA KUTOUZA MAHINDI YAO KWA MAWAKALA WATAPELI

GOR MAHIA KUGARAGAZANA NA YANGA SC YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *