TUACHE KUPINGA MSWADA 2024-2025

Mwenyekiti wa kamati ya fedha katika bunge la kitaifa Kimani Kuria ambaye pia ni mbunge wa Molo amewasuta wanaopinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024-2025 akisema kuwa kupitia mswada huo serikali itaongeza mapato ya taifaMbunge  wa kimilili Didmus Barasa kwa upande amesisitiza kauli ya Kuria akisema kuwa serikali ya kenya kwanza haijambagua mkenya yeyote […]

TIMU YA KENYA RAGA YARJEA KWA KISHINDO

Timu ya Kenya ya Raga ya wachezaji saba upande , Shujaa, ilirejea kwa kishindo Msururu wa Rugby Sevens ya HSBC kwa kuilaza Ujerumani 33-15 katika robo fainali ya mchujo Jumapili katika Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Ujerumani walikuwa wa kwanza juu ya mstari lakini nahodha Vincent Onyala alifunga mara moja na nahodha mwenzake Tony […]

SHULE YA KAKAMEGA YATAMBA KWA MICHEZO YA RAGA

Mabingwa mara nane wa raga ya wachezaji 15 na mara tano wa raga ya 7s KSSSA, Shule ya Kakamega, waliandikisha ushindi wao ambao ulirejea historia yao katika Michezo ya Kaunti Ndogo ya Kakamega ya Kati iliyoandaliwa katika Shule ya Kakamega Jumamosi. Chini ya ukufunzi wa Kocha Amos Wamanga, timu hiyo ilitoa msururu wa ushindi wa […]

KENYA PRISON WAINGIA FAINALI YA VOLIBOLI

Timu ya Kenya Prisons ya voliboli ya wanawake iliinga fainali ya mchujo wa mwisho wa msimu wa ligi ya wanawake ya Shirikisho la Volleyball ya Kenya (KVF) kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Kenya Pipeline uwanjani Kasarani Indoor Arena Jumapili. Ushindi huu ulikuja baada ya ushindi wa 3-0 siku ya Ijumaa, ukifuatiwa na kupoteza 1-3 […]

TUPO TAYARI KWA MSIMU UJAO ASEMA CARLO ANCELOTTI

Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amesema timu yake itarejea kupata taji zaidi msimu ujao baada ya kunyakua rekodi ya kombe la 15 la Ligi ya Mabingwa huko Wembley Jumamosi. Los Blancos waliwazima Borussia Dortmund na kisha wakafunga mabao mawili kupitia kwa Dani Carvajal na Vinicius Junior na kupata ushindi wa 2-0. Muitaliano huyo alinyanyua […]

ODM YASAMBAZA MSAADA KWA WAADHIRIWA WA MAFURIKO BUSIA

Chama cha ODM leo knatarajiwa kuendeleza shughuli za kusambaza msaada kwa waadhiriwa wa mafuriko katika kaunti ya Busia ambapo watu kadhaa waliadhirika. Kulingana na msemaji wa ODM Philip Etale kamati ya majanga katika chama hicho ikiongozwa na seneta wa migori Eddy Okech Gicheru itafanya usambazaji huo katika shule moja ya msingi katika kaunti hiyo huku […]