WAKENYA HALISI KUPOKEA VITAMBULISHO
Rais William Ruto amefafanua kwamba mageuzi ya serikali kuhusu utoaji wa vitambulisho vya kitaifa hayakufuta uthibitishaji wa uraia, akisisitiza kwamba ni raia halali wa Kenya pekee watakaopokea hati hizo. Akizungumza wakati wa sherehe za siku ya madaraka katika kaunti ya Wajir hii leo, Ruto amesema mageuzi yaliyoanzishwa na utawala wake yanalenga kukomesha ubaguzi dhidi ya jamii […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































