#Rugby #Sports

IMPALA RFC WAKO TAYARI

Kocha mkuu wa Impala RFC Louis Kisia anasema timu yake iko tayari kwa mapambano makali watakapoandaa mashindano ya Impala Floodlit
#Rugby #Sports

MABINGWA WAREJEA

Mabingwa wapya wa taji la raga shule za upili Afrika Mashariki All Saints na Kithimu Girls walirejea nyumbani mjini Embu
#Rugby #Sports

KISIA AINGIA IMPALA

Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Kenya raga ya wachezaji saba kwa wanaume, Louis Kisia anatarajiwa kuteuliwa kocha mkuu