OBURU: ODM ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA UDA
Kiongozi wa chama cha ODM na Seneta wa Siaya Oburu Odinga amesema kuwa chama hicho kitaendelea kushirikiana na UDA, huku kikitarajia kuendeleza mazungumzo na serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa fedha za NYOTA jijini Kisumu Oburu amesifu uhusiano kati ya ODM na UDA ndani ya serikali jumuishi, akisema […]
English 





































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































