KIPKOSGEI BINGWA WA DUNIA RASMI
Chipukizi wa Kenya Phanuel Kipkosgei Koech, amepata afueni baada ya shirikisho la riadha ulimwenguni kuidhinisha rekodi yake katika mbio za mita 1,500 kwa wanaume za Paris Wanda Diamond League mwezi Juni mwaka jana. Akiwa na umri wa miaka 18 wakati huo, Kipkosgei aliandikisha muda wa dakika 3:27.72 akimaliza nyuma ya Azeddine Habz na kuvunja rekodi […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































