RUTO AAGIZA BUNDUKI HARAMU ZISALIMISHWE
Rais William Ruto kwa mara nyingine amewaonya wamiliki wa bunduki haramu katika eneo la Kerio Valley kuziwasilisha mara moja kwa maafisa wa usalama akionya kuwa watakaokiuka watakabiliwa kisheria. Rais alikuwa akizungumza katika kaunti ya West Pokot, akipongeza operesheni ya kuwakabili majangili eneo hilo la Kerio. Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































