NYONG’O APINGA MSWADA UNAOWAZUIA MAGAVANA WALIOSTAAFU KUGOMBEA VITI VYA UBUNGE
Gavana wa Kaunti ya Kisumu Anyang Nyong’o amelitaka Bunge la Seneti kuondoa Mswada wa Marekebisho ya Katiba ya Kenya wa 2023, unaolenga kuwazuia magavana wa zamani kugombea nyadhifa zingine za uchaguzi. Mswada huo unalenga kuwafungia magavana baada ya kutumikia muhula wao wa miaka 10 afisini. Nyong’o anasema mswada huo ni kinyume cha katiba kwa kuwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































