ZIARA YA RAIS RUTO KAUNTI YA BUNGOMA KWA SIKU TATU

Rai William Ruto yuko katika kaunti ya Bungoma kwa ziara ya siku tatu kabla ya kuliongoza taifa katika sherehe za madaraka day yatakayofanyika katika kaunti hiyo. Ruto aliwasili katika uwanja wa ndege wa matulo jana jioni akitarajiwa leo hii kukagua miradi mbali mbali ya maendelo katika kaunti hiyo. Ruto jana aliongoza ufunguzi wa chuo cha […]

UPINZANI: UGAVI UZINGATIE MAHITAJI, SIYO IDADI

Viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa chama cha DAP-K Eugene Wamalwa, wanasisitiza kwamba mfumo wa ugavi wa mapato ya kitaifa uzingatie mahitaji ya kila kaunti, wakisema suala la idadi ya wat una upana wa eneo linazua mgawanyiko. Katika kikao na wanahabari, viongozi hao wametaka mapendekezo ya ripoti ya maridhiano NADCO kutekelezwa. Aidha, wameukosoa mswada […]

KOOME AAHIDI MAHAKAMA YA RUFAA ELDORET

Jaji mkuu Martha Koome amesema mahakama ya rufaa ya kudumu itazinduliwa mjini Eldoret punde baada ya kukamilika kwa mahojiano ya kuwaajiri majaji wa mahakama hiyo. Akizungumza alipomtembelea gavana wa Uasin Gishu Joanathan Bii afisini mwaka, koome amesema kuwa idara ya mahakama itaongeza jaji mwingine katika mahakama kuu ya Eldoret. Ziara yake imejiri wakati ambapo uzinduzi […]

CHIDZUGA AOMBA WANAWAKE WAFANYWE KIPAUMBELE KWENYE AJIRA

Naibu msemaji wa serikali Mwanaisha Chidzuga ametoa wito kwa sekta mbali mbali za uajiri nchini kuwapa kipaumbele wanawake katika utoaji wa nafasi za ajira. Akizungumza jijini Mombasa wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake walioko katika sekta ya bahari, Chidzuga amesema hatua hiyo itahakikisha azma ya kuwapa wanawake nafasi sawa za uongozi na […]

WAFANYABIASHARA GIKOMBA WASHTAKI SERIKALI YA NAIROBI

Wafanyabiashara katika soko la Gikomba jijini Nairobi wameelekea mahakamani wakitaka ubomoaji wa maeneo yao ya biashara kusitishwa Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao, ubomoaji huo umelemaza shughuli za biashara na hivyo kuathiri Maisha yao ya kila siku. Aidha, wamesema kuwa wenzao wawili wamefariki kutokana na mzongo wa mawazo. Mahakama itatoa uamuzi kuhusu suala hilo tarehe 10 […]

WATU ZAIDI YA MILIONI 74 WAKABILIWA NA UHABA WA CHAKULA BARANI AFRIKA

Ripoti ambayo imetolewa  na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Mamlaka ya Maendeleo ya Kiserikali ya Afrika Mashariki (IGAD), imeonyesha kuwa takriban watu milioni 74.9 katika kanda ya Afrika wanakabiliwa na uhaba wa chakula na wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu. Kufuatia ripoti hiyo kati ya idadi ya watu milioni […]

KAMISHNA MKUU WA KRA AHIMIZA NCHI ZA AFRIKA KUBORESHA UKUSANYAJI WA USHURU

Kamishna Mkuu wa kampuni ya ukusanyaji ushuru nchini KRA Humphrey Wattanga amezitaka nchi za Afrika kuboresha vitengo vya usimamizi  wa ushuru na ukusanyaji wa mapato licha ya upungufu katika sekta ya uongozi na mtiririko wa fedha haramu. Wattanga ametoa wito huo wakati wa mkutano ambao umeleta pamoja wataalam wa ushuru kujadili mikakati ya kuimarisha ukusanyaji […]

MENEJA WA NGCDF MASHAKANI

Mahakama imewapa walalamishi watatu kibali cha kuwasilisha malalamishi yao dhidi ya meneja wa Hazina ya Maendeleo ya Eneo bunge la Kiambaa Lorna Muthoni Njoroge mbele ya bodi ya NGCDF katika muda wa siku saba. Jaji Byram Ongaya amewaagiza walalamishi hao kuwa iwapo watashindwa kufanya hivyo basi kesi hiyo itafutiliwa mbali bila amri ya gharama. Katika […]

‘SERIKALI YANGU IMESIMAMISHWA NA MAOMBI’ RUTO ASEMA

Rais William Ruto amewashauri wakenya mkujendelea kufanya kipaumbele maombi akisema kuwa yatasaidia kuimarisha taifa hili kwa kulainisha mambo mbali mbali Akitoa hotuba yake katika hafla ya maombi ya kitaifa ambayo yanaendelea kwa sasa katika hoteli ya safari Park rasi anasema tangu achukue hatamu za uongozi mwaka wa 2022 serikali hyake imesimamishwa na maombi Kwa mujibu […]

ROONEY ASEMA NDOTO YAKE NI KUA KOCHA WA MANCHESTER UNITED

Kocha mpya wa Playmouth Argyle,Wayne Rooney amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba itakuwa “ndoto” yake kuinoa Manchester United katika siku zijazo. Nahodha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza amerejea katika usimamizi baada ya kuteuliwa kuwa kocha mkuu anayefuata wa Plymouth Argyle wiki iliyopita. Jukumu hilo ni la kwanza kwa Rooney tangu alipotimuliwa […]