KOMPANY ACHUKUA USUKANI BAYERN

Vincent Kompany aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa Bayern Munich, na hivyo kuhitimisha ukuaji wa haraka katika taaluma ya ukocha wake licha ya matokeo tofauti. Kompany, ambaye bado ana umri wa miaka 38, hana uzoefu wa makocha wa awali wa Bayern na alikuwa chaguo la kushangaza kwa timu yake ya Burnley iliyoshuka daraja kutoka Ligi ya […]

MENENGAI CREAM WAZIDI KUTAMBA

Kocha mkuu wa Menengai Cream Cheetahs Lawi Buyachi ametaja ushindi wao wa Kenya Rugby Super Series kutokana na mipango mizuri na mpangilio mzuri kutoka kwa kikosi.Mkufunzi huyo wa zamani wa Kisumu RFC na kocha msaidizi wa sasa wa Menengai Oilers aliongoza kikosi chake hadi kuibuka na ushindi baada ya kuichapa KCB Bank Lions 10-18 katika […]

WANGARI MSHINDI WA MBIO ZA SHULE AKARIBISHWA KWA SHEREHE KUBWA

Jane Wangari, ambaye alishinda kitengo cha vijana chini ya umri wa miaka 15 katika Mashindano ya 24 ya Dunia ya Mbio za Dunia za Shirikisho la Shule za Kimataifa (ISF) kwenye Uwanja wa Ngong Racecourse, Nairobi, amepongezwa na wanakijiji katika kijiji chake cha asili cha Kiambogo, Naivasha, Kaunti ya Nakuru. Mwanariadha huyo anayeishi Nakuru aliwashinda […]

MWILI WA CHERUIYOT KUSALIA MLIMA EVEREST

Mwili wa Cheruiyot Kirui mpanda mlima aliyeaga dunia akiukwea mlima Everest utasalia hukoKirui aliyeaga dunia mei 22 mwaka huu akiwa katika harakati za kuukwea mlima huo baada ya kukosa hewa ya oxigeni. Mwili wake ulipatikana umbali wa mita 48 kutoka kilele cha mlima huo Pamoja na mwelekezi wake Nawang Sherpa aliyekuwa pia na umri sawa […]

SERIKALI KUFUNGA KAMBI ZA WAATHIRIWA WA MAIMAHIU

Serikali imetangaza kufunga Kambi zilizoko eneo la maimahiu ambazo zinatumika na waadhiriwa wa mkasa wa maimahiu ambapo watu zaidi ya watu 60 walifariki dunia na wengine161 kuachwa bila makao baada ya bwawa la Old Kijabe kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko. Kwa mujibu wa Waziri wa Afrika mashariki na maeneo kame Peninah Malonza kambi 198 […]

RUTO AONGOZA HAFLA YA MAOMBI YA KITAIFA NAIROBI

Rais William Ruto leo hii anatarajiwa kuongoza hafla ya maombi ya kitaifa itakayofanyika katika hoteli ya Safari Park jijini Nairobi. Spika wa bunge la kitaifa Moses Masika Wetangula alitangaza rasmi kuandaliwa kwa hafla hiyo ambayo hufanyika kila mwaka. Viongozi mbali mbali wa humu nchini na wengine kutoka mataifa ya nje wanatarajiwa kuhudhuria maombi hayo Kauli […]

RIPOTI YA KIFO CHA OGOLA KUWEKWA WAZI KWA UMMA

Ripoti ya kifo cha aliyekuwa mkuu wa majeshi nchini Francis Ogola itawekwa wazi kwa umma. Kwa mujibu wa Waziri wa ulinzi Aden Duale uchunguzi unaendelea na kwamba maafisa kadhaa wanaochunguza ajali hiyo waliyachukua mabaki ya ndege hiyo ya kijeshi na kuyapeleka nchini marekani hasa katika kampuni ya Bell Textron Inc iliyounda ndege hiyo katika juhudi […]

GAVANA KAHIGA, SUDI WAMJIBU MALALA

Baadhi ya viongozi wa eneo la mlima Kenya wanadai kwamba umaarufu wa chama tawala cha UDA umeanza kufifia katika eneo hilo. Kwa mujibu wa Katibu mkuu wa chama cha jubilee Jeremiah Kioni malumbano yanayoendelea ndani ya chama hicho ni ishara tosha kwamba huenda chama hicho kikasambaratika kabla ya uchaguzi wa 2027Katika mahojianao na kituo kimoja […]

GACHAGUA AKANA KUJIUNGA NA CHAMA KIPYA

Naibu Rais Rigathi Gachagua amejitenga na taarifa kwamba amepata chama kipya cha kisiasa, akizitaja taarifa hizo kuwa za uongo na zenye nia mbaya. Kwa mujibu wa gazeti moja nchini hii leo, Gachagua yuko kwenye mchakato wa kujiunga na chama cha The New Democrats kufuatia mgawanyiko wake na Rais William Ruto. Hata hivyo, Gachagua amelishutumu gazeti […]

MGOMO WATATIZA UCHUKUZI KIRINYAGA

Shughuli za uchukuzi zimetatizika katika eneo la Kerugoya kaunti ya Kiriyaga, baada ya wahudumu wa matatu kugoma wakilalamikia hatua ya wamiliki wa magari ya kibinafsi kubeba abiria bila leseni. Wahudumu hao wameapa kutorejesha magari yao barabarani hadi usimamizi wa kaunti hiyo utakapoingilia kati kutatua mgogoro huo. Hata hivyo, maafisa wa polisi eneo hilo wamewataka wahudumu […]