YUSUF HASSAN MBUNGE WA KAMUKUNJI AMESAMBAZA CHAKULA CHA MSAADA KWA WAADHIRIWA WA MAFURIKO
Mbunge wa Kamukunji Yusuf Hassan amesambaza chakula kwa zaidi ya watu 10,000 wote wakiwa waadhiriwa wa janga la mafuriko katika eneo bunge hilo. Akizungumza katika kituo cha usambazaji maji eneo bunge Yusuf amesikitika kwamba mafuriko makubwa yaliyoshuhudiwa katika siku chache zilizopita yameacha athari mbaya kwa familia na watoto wanaoenda shule. Mafuriko hayo yameifanya sehemu ya […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































