KIKAO CHA KUJADILI HOJA YA KUMBANDUA LINTURIMAMLAKANI KIMEAHIRISHWA

Kikao cha kujadili hoja ya kumbandua linturi mamlakani kimeahirishwa Kikao hicho kilichokuwa kimeratibiwa kufanyika jioni hii kimeahirishwa kutokana na kukatizwa kwa nguvu za umeme. Seneta wa nairobi Edwin Sifuna kupitia mtandao wake wa x amefichua kwamba wamelazimika kusimamisha vikao vya seneti  vilivyoratibiwa kufanyika jioni hii “tumelazimika kusimamisha vikao vya seneti kwa sababu hakuna mamlaka katika […]

NAIBU RAIS RIGATHI GACHAGUA AHUDHURIA IBAADA YA WAFU YA WAADHIRIWA WA MAFURIKO MAIMAHIU

Rais Rigathi Gachagua, gavana wa nakuru Susan Kihika , mbunge wa naivasha Jane Kihara na viongozi wengine walihudhuria ibaada ya wafu ya watu 61 walioaga dunia kutokana na mafuriko eneo la maimahiu kaunti ya Nakuru. Mkasa huo ulitokea tarehe 29 mwezi wa aprili ambapo  bwawa la old Kijabe lilivunja kingo zake na kusababisha mafuriko eneo […]

VIKAO VYA KUSIKILIZA HOJA YA KUMBANDUA MAMLAKANI WAZIRI WA KILIMO MITHIIKA LINTURI VINAENDELEA

Vikao vya kusikiliza hoja ya kumbandua mamlakani waziri wa kilimo Mithiika Linturi vinaendelea ambapo waziri huyo amehojiwa akiwa wa kwanza na  kukanusha madai ya kuhusika na sakata ya usambazaji wa mbolea gushi na madai kwamba ndiye aliyeidhinisha kusambazwa kwa mbolea hiyo kwa wakulima. Vile vile Linturi ameongeza kwamba hafai kuwajibishwa kwa sakata hiyo kwa kuwa […]

MIKIKI

Topic of the day that touches current issue affecting the youth ( ni lazima youth afanye wedding ndo marriage iwe successful)

Mikiki

Mikiki is a shopping centre in San Po Kong, Kowloon, Hong Kong. It is owned by Sun Hung Kai Properties. Mikiki is directly connected to The Latitude, a private housing estate that was also developed by Sun Hung Kai Properties. Mikiki does not have a Chinese name, and its English name is based on the Japanese word for “knowledge”. Mikiki covers an area […]

Ubao wa Aviation

Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama ‘Yesu’ wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ambapo anadai Mungu alimjia na kumpatia jina Yesu, na kuanzia siku hiyo hapaswi kuitwa au kutaja majina yake ya awali. Mwandishi wa BBC Roncliff Odit, alipomtembelea hivi […]

Kizazi

Kizazi means ‘generation’ in Swahili. We exist to ensure that this generation of children are empowered by education to thrive, wherever in the world they grow up.  We work with local partners to develop, implement, and spread breakthrough school models in under-resourced communities around the world.

Mikiki

Kenyan rapper, Femi One comes through with the official music video to her hit track “Mikiki”. Mikiki is an upbeat jam where Femi speaks to her competitors in the Hip-hop scene. Femi calls out those who out rely on publicity stunts to sell their music while she continues to climb the ladder of success.

Kijito cha Sifa

(Sung in Swahili – A Hymn) Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu (The cleansing river is the Blood of Jesus)Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to grant me salvation)Viumbe vipya naona, Damu ina nguvu (I see new beings, the Blood is powerful)Imeharibu uovu, uliyo dhulumu (It has destroyed the evil that harm) Refrain:Kijito cha […]