KAMBI MPYA ZA WAADHIRIWA WA MAFURIKO

Serikali ya kitaifa imeanzisha shughuli ya kuweka kambi mpya za kuwasaidia waathriwa wa mafuriko waliomo kwenye hifadhi katika shule mbali mbali. Katibu katika wizara ya uslama wa ndani na masuala ya nchi Raymond Omollo, amesema uamuzi huo unalenga kuwezesha shughuli za masomo kurejelewa ipasavyo shule zitakapofunguliwa wiki ijayo. Akizungumza wakati wa upanzi wa miche kaunti […]

KENYA IMEWEKA MIKAKATI KABAMBE KULINDA DETA ZA WAKENYA MITANDAONI

Rais William ruto amewahakikishia wakenya kwamba serikali yake imeweka mikakati kabambe ili kulinda data ya wakenya mitandaoni. Akizungumza wakati wa kituo cha kimataifa cha mawasiliano CCI Tatu City eno la ruiru kaunti ya Kiambu, Rais ametaja uzinduzi katika vituo vya kiteknolojia kuwa unalenga kubuni nafasi za ajira kote nchini.

WAZIRI KINDIKI AMEAGIZA WATU WANAOISHI KWA MISITU KUHAMA

Waziri wa usalama na maswala ya ndani prof Kithure Kindiki amewaagiza watu wanaoishi kwenye misitu kuondoka haraka. Akizungumza mjini marsabit wakati alipoongoza shughuli ya upanzi wa miche , kindiki amesema ardhi kubwa ya misitu imenyakuliwa hali inayotishia usalama wa mazingira. Kulingana na Waziri kindiki serikali itaendelea na mipango ya kuondoa watu wanaoishi karibu na mito […]

TUTAPANDA MICHE KILA SIKU KUANZIA JUMATATU

Rais William Ruto amesema Kwanzia jumatatu wiki ijayo shughuli ya upanzi wa miche itakuwa ikifanyika kila siku. Akihutubu baada ya kuongoza hafla ya upanzi wa miti kwenye msitu wa kiambichu wa maragua kaunti ya muranga , rais Ruto amedokekla kuwa Waziri Musalia Mudavadi ataongoza shughuli hiyo ya upanzi wa miche jumatatu hiyo.

RAIS WILLIAM RUTO AMETEUA MAJAJI 20 KUHUDUMU KATIKA MAHAKAMA KUU

Rais William Ruto amewateua watu 20 ktika nyadhifa za majaji wa mahakama kuu kufuatia pendekezo la tume ya huduma za mahakama JSC. Katika taarifa kwa vyombo vya Habari ambayo imechapishwa kwenye gazeti rasmi la serikali , walioteuliwa sasa wanasubiri kuapishwa rasmi kuanza kuhudumu. Majaji hao ni Moses Ado Otieno, Alice Chepngetich Bett Soi, Benjamin Mwikya […]

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA BUNGOMA

Watu watano wamefariki dunia baadaa ya jumba kuporomoka kaunti ya Bungomana huku wengine kadhaa wakihofiwa kukwamba ndani ya vifusi vya jengo hilo. Jumba hilo lilikuwa likibomolewa na serikali ya kaunti ya Bungoma kutoa nafasi ya upanuzi wa uwanja wa Masinde Muliru.

UAE YATOA DOLA MILIONI 15 KWA KENYA KUSAIDIA KUKABILI HADHARI ZA MAFURIKO

Mataifa ya kiarabu UAE sasa yametoa dola milioni 15 sawa na shilingi bilioni 2 za kenya kusaidia katika kudhibiti adhari za mafuriko humu nchini. Fedha hizo zimetolewa kufuatia agizo la rais wa UAE Sheik Mohamed bin Zayed Al Nahyan kuipa kenya pesa hizo kusaidia waadhiriwa wa mafuriko. Kupitia mtandao wa X ubalozi wa UAE humu […]

RAIS WILLIAM RUTO AMEZINDUA KITUO CHA KIMATAIFA CHA MAWASILIANO CCI TATU CITY

Rais William Ruto amezindua kituo cha kimataifa cha mawasiliano CCI Tatu City eneo la ruiru kaunti ya Kiambu. Akihutubu katika uzinduzi huo rais amesema serikali imewekeza pakubwa katika teknologia na huifadhi wa data akiwahimiza wawekezaji kupiga jeki muradi huo. Kwa mujibu wa ruto uzinduzi wa vituo vya teknolojia unalenga kubuni nafasi za ajira kwa vijana.

SERIKALI INALENGA KUPANDA MICHE MILIONI 200WATU WAZIMA WAKIIMIZWA KUPANDA MICHE 50 NAWATOTO 10

Serikali inalenga kuhakikisha kwamba miche milioni 200 inapandwa leo hii ikiwa ni siku ya mapumziko ya kitaifa kwa ajili ya shughuli hiyo. Waziri wa mazingira Soipan Tuya amewaomba wakenya ambao ni watu wazima kuhakikisha leo hii wanapanda agalau miche 50 na wattoto miche 10 Jumatano rais William Ruto alitangaza leo hii kuwa siku ya mapumziko […]