KOCHA WA POLICE BULLETS ASHABIKIA LIGI YA WANAWAKE
Kocha mkuu wa Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Kenya, Kenya Police Bullets, Beldine Odemba anaamini kuwa timu ya taifa ya wanawake Harambee Starlets inaweza kufaidika kutokana na utaalam wa ligi za wanawake. Odemba ametoa changamoto kwa Shirikisho la Soka la Kenya kupata udhamini wa ligi hiyo ili kurahisisha shughuli zake, jambo ambalo pia […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































