WINCATE AJIUNGA NA SIMBA QUEENS

Mlinzi wa Harambee Starlets Wincate Kaari Kinyua amejiunga na miamba wa soka nchini Tanzania Simba Queens kwa mkataba wa miaka miwili kutoka klabu ya Yanga. Kaari aliyewahi kuisakatia klabu ya ligi kuu ya soka nchini, Thika Queens, kabla ya timu hiyo kubadili jina na kujiita Kenya Police Bullets msimu jana, ataipiga jeki timu hiyo kuelekea […]

HAIKUA RAHISI KWANGU

Kocha Msaidizi wa Equity Hawks, Samba Mjomba, amekiri kwamba haikuwa uamuzi rahisi kwake kutundika daluga za uchezaji na kujiunga na kazi ya ukocha. Ligi ya Kikapu ya Kitaifa ya Wanawake ya 2023-2024 iliyomalizika hivi majuzi ilikuwa msimu wa kwanza kwa Mjomba kwenye benchi ya ufundi, baada ya kuacha kucheza mwishoni mwa msimu wa 2022-2023. Mara […]

EACC YAANZA KUCHUNGUZA UFISADI WA MILIONI 373 KAUNTI YA BOMET

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya wizi wa fedha za umma, mgongano wa kimaslahi na ulaghai wa ununuzi wa shilingi milioni 373 katika ununuzi wa vifaa vizito vya ujenzi wa barabara na lori katika Kaunti ya Bomet. Uchunguzi huo unalenga maafisa wa kaunti na mashirika ya kibinafsi yanayodaiwa […]