KITHURE AWARUKA POLISI

Waziri mteule katika wizara ya usalama wa nchini Kithure Kindiki ametoa hakikisho kwamba wakenya walio na vitambulisho vipya vya maisha namba ambavyo muda wake wa kutumika wa miaka 10 utakuwa umekamilika, wataendelea kupata huduma za serikali wakisubiri kupokea vitambulisho vipya. Akizungumza alipofika mbele ya jopo la bunge la kitaifa kwa mahojiana kuhusu ufaafu wake kwenye […]

UKAGUZI WA DETA MARIGO-INN

Zoezi la kukusanya na kukagua deta za wakazi wa mtaa wa Maringo-inn  eneo la Nairobi South linatarajiwa kuanza wikendi hii, zoezi likijiri wakati ambapo wakazi wametakiwa kuondoka mtaani humo kwa muda ili kuruhusu ujenzi wa makazi ya bei nafuu. Afisa katika idara ya ujenzi katika serikali kuu Gabriel Muli anayeongoeza zoezi hilo hata hivyo amewahakikishia […]

DEBRA; TUTAKAGUA SHIF KABLA ZA KUTUMIKA

Debra Mulongo Barasa waziri mteule wa Afya akiwa mbele ya kamati ya uteuzi ya bunge la kitaifa amesema kuwa pana haja ya kutathmini upya kwa mpango wa afya ya jamii SHIF kabla ya kutekelezwa kwake. Mulongo aidha ameahidi kuwa kutakuwepo uwajibikaji iwapo atahidhinishwa kuhudumu katika wizara hiyo ya Afya Imetayarishwa na Janice Marete

WALIMU 1,200 WA CHEKECHEA WAPATA AJIRA YA KUDUMU

Walimu 1200 wa shule za chekechea kaunti ya Pokot Magharibi wamepata ajira ya kudumu. Katika hafla ya kuwapokeza walimu hao barua zao za ajira gavana Simon Kachapin anasema kuwa walimu wa shule za chekechea ni nguzo kuu katika elimu ya mtoto Imetayarishwa na Janice Marete

MAAFISA WA KAUNTI 47 WASAFISHWA NA EACC

Msemaji wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC Erick Ngumbi amesema kuwa tume hiyo imeanzisha uchunguzi wa mitindo ya maafisa wa kaunti zote 47 ili kuwachukulia hatua maafisa wanaojihusisha na ufisadi. Ngumbi aidha ameongeza kuwa hatua hiyo inafuatia Sakata ya ufisadi ambayo imefichuliwa katika kaunti ya Bomet ambapo jumla ya shilingi milioni 372 zimefujwa. Imetayarishwa […]

ASANTE KWA KUNIAMINI! JUNET ANAMWAMBIA BABA BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA KIONGOZI WA WACHACHE

Mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohamed amemshukuru kiongozi wa Azimio Raila Odinga kwa kumteua kama kiongozi wa Wachache katika Bunge la Kitaifa. Junet amethibitisha kuwa chini ya uongozi wake, vuguvugu lao litaibuka na ushindiMatamshi yake yalijiri baada ya chama cha ODM kuafikiana na Mbunge wa Suna Mashariki kuwa kiongozi wa Wachache. Junet, ambaye anahudumu kwa […]

KINDIKI KWA BUNGE; NITAPATA KAZI?

Prof Kithure Kindike amefika mbele ya kamati ya mmahojiano ya bunge la kitaifa na tayari mahojiano yameanza. Katika mahojiano hayo yanayoongozwa na spika wa bunge la kitaifa Kithure Kindiki ametakiwa kueleza mafanikio aliyoafikia alipokuwa Waziri wa usala na maswala ya ndani ya nchi. Imetayarishwa na Janice Marete

MBAPPE AMILIKI LIGUE 2

Nahodha wa Ufaransa Kylian Mbappe amechukua nafasi ya mwanahisa mkubwa wa klabu ya Ligue 2 ya Caen, kampuni ya Mbappe Interconnected Ventures ilitangaza katika taarifa yake leo. Mchezaji mpya wa Real Madrid, ambaye alikaribia kusajiliwa na Caen alipokuwa mdogo, amepata asilimia 80 ya hisa kupitia Coalition Capital, taasisi ya uwekezaji ya Interconnected Ventures, kuchukua nafasi […]

SIFAN HASSAN ADHIBITISHA UWEPO WAKE

Nyota wa mbio ndefu wa Uholanzi Sifan Hassan alitangaza Jumatano kuwa atakimbia marathon pamoja na kutetea taji lake la Olimpiki katika mbio za mita 5,000 na 10,000 alizoshinda Tokyo, huku akisaka mataji matatu ya kihistoria. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 anatafuta kuwa mwanamke wa kwanza kushinda dhahabu katika mashindano hayo matatu, akimuiga mwanariadha […]

MATANO APASUA MBARIKA

Robert Matano, kocha mkuu wa zamani wa Tusker FC, amefichua kilichomfanya akaondoka kwa mabingwa hao mara 13 wa Ligi Kuu ya Kenya. Kuondoka kwake kulihitimisha uhudumu wake wa miaka sita katika klabu hiyo yenye maskani yake Ruaraka, ambapo alishinda mataji matatu yakiwemo ya Ligi Kuu msimu wa 2020-21 na 2021-22 na Kombe la Super Cup […]