AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KIAMBU

Maafisa wa upelelezi wanachunguza kisa ambapo mwanamume mmoja amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Kist, mji wa Kiambu. Polisi wamefika eneo la tukio na kukuta maiti ya mtu asiyejulikana mwenye umri wa takriban miaka 27 ikiwa imelala kando ya pikipiki. Mwili huo ulikuwa na jeraha moja la risasi kifuani huku cartridge […]

UMOJA WA MATAIFA WATOA MAFUNZO KWA POLISI WA KENYA NCHINI HAITI

Umoja wa mataifa umeanza vikao vya mafunzo kwa maafisa wa polisi wa Kenya waliotumwa nchini Haiti kupambana na magenge ya wahalifu. Umoja wa mataifa wa haki za kibinadamu umechukua timu ya ujumbe wa Msaada wa usalama wa kimataifa kupitia mfumo wa uzingatiaji, ambao unalenga kuunganisha kanuni za haki za binadamu na sheria za kimataifa za […]

CHUNGA KUPOTEZA KAZI NDANI YA MWAKA MMOJA; JUNET AMWAMBIA ANDREW KARANJA

Mbunge wa Suna Mashariki, Junet Mohamed amemuonya Waziri mteule wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo, Dk Andrew Mwihia Karanja kuwa makini na watu wanaodhaniwa kuwa ‘matapeli ndani ya wizara hiyo, endapo atateuliwa kushika nafasi hiyo, asije akapoteza kazi ndani ya mwaka mmoja. Kulingana na Mohamed, ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Uteuzi, watu […]

MALALA ATEMWA

Kamati ya taifa ya chama cha United Democratic Alliance (UDA) umetupilia mbali uteuzi wa katibu mkuu wa chama hicho Cleophas Malala. Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha asubuhi ya leo kamati hiyo imesema makamu mwenyekiti Hassan Omar sasa atakuwa katibu mkuu kwa muda. Imetayarishwa na Janice Marete

MIPANGO YA MAPEMA

Saudi Arabia, ambayo ndiyo nchi pekee iliyowasilisha ombi la kuwa mwenyeji wa kombe la dunia la FIFA 2034, itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo ya timu 48 katika viwanja kumi na tano katika miji mitano, ikiwa ni pamoja na viwanja vinane katika mji mkuu. Tangazo linajiri siku chache baada ya ufalme huo kuwasilisha ombi lake rasmi […]

MCHUANO MKALI WA OLYMPIKI

Ufaransa itakutana na Argentina kwa mechi inayoweza kuwa na kinyongo mjini Bordeaux katika mechi ya robo fainali ya Olimpiki ya wanaume hapo kesho. Hivi majuzi kumekuwa na uhasama kati ya timu hizo baada ya wachezaji wa Argentina kurekodiwa wakiimba wimbo wa dharau kuhusu wachezaji weusi wa Ufaransa baada ya kutwaa ubingwa wa Copa America tarehe […]

BUSIA YANAWIRI

Kaunti ya Busia ndiyo mshindi wa mashindano ya shule za upili za wanafunzi walio na mahitaji maalum kse ya eneo la magharibi ambayo yamekamilika katika shule za upili za father okodoi na st. Bridgit kaunti ndogo ya teso ya kati kaunti ya busia. Kaunti ya Busia imetwaa ubingwa kwenye kandanda na voliboli ya walemavu wavulana, […]

TUBORESHE UTENDEKAZI

Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Murang’a Seal, Hussein Mohammed, ameitaka FIFA na Serikali ya Kenya kuunda Kamati ya Urekebishaji ili kusimamia utendakazi wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF). Wito huu unafuatia amri ya hivi majuzi ya mahakama inayokataza uongozi wa sasa wa FKF kufanya shughuli zozote kwa niaba ya shirikisho, ikisubiri kusikilizwa kwa kesi […]

LIPO TUMAINI

Baada ya timu za Kenya kufanya vibaya hadi sasa katika Michezo ya Olimpiki ya Paris, kocha wa mbio za masafa ya kati Bernard Ouma anaamini kuwa kutakuwa na tabasamu mara tu programu ya riadha itakapoanza ipasavyo hii leo. Kufikia sasa, Kenya haijajishindia medali kutoka washiriki binafsi na michezo ya timu ambayo wameshiriki, huku mwana-judo Zeddy […]

TUZO YA 10,000 KWA WAKUSAJI WA AFYA

Serikali itafanya kazi na washirika ili kuongeza ukuzaji wa afya ya jamii na utunzaji wa kinga. Katibu katika wizara ya afya ya umma Mary Muthoni anasema kuwa kutakuweko na tuzo ya mwezi kwa wakuzaji ya shilingi 10,000 ili kuwahamasisha kusajili wakenya zaidi. Imetayarishwa na Janice Marete