KIKOSI KIKO IMARA

Nahodha wa Harambee Stars aliyejeruhiwa Michael Olunga hana shaka katika mechi mbili za ufunguzi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, kocha Engin Firat amefichua Jumapili. Beki wa Serbia Collins Sichenje pia atakosa michezo miwili dhidi ya Zimbabwe na Namibia mtawalia, baada ya kupata jeraha Jumamosi wakati wa mazoezi. Firat pia amemtoa […]

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WAPANGA KUANDAMANO KUPINGA MFUMO WA UFADHILI WA ELIMU YA JUU

Wanafunzi wa vyuo vikuu humu nchini wanatarajiwa kushiriki maandamano hii leo kupinga mfumo mpya wa ufathili wa elimu ya juu. Baada ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuwekwa katika kategoria tano tofauti wanafunzi hnao wanapendekeza mfumo wa awali kurejelewa. Kufikia sasa wanafunzi zaidi ya 13000 wamewasilisha malalamishi yao wakipinga kuwekwa katika kategoria zisizowiana na mapato […]

WASAFIRI WATAKIWA KUJAZA FOMU YA HISTORIA YAO YA USAFIRI

Watu wanaoingia nchini sasa watatakiwa kujaza fomu kuhusu historia zao za usafiri kando na kufanyiwa vipimo vya ugonjwa wa mpox katika juhudi za kukabili maambukizi zaidi ya ugonjwa wa Mpox. Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni amefichua kuwa wahudumu wa afya wametumwa katika mipanga mbal mbali ya nchi ili kuwafanyia vipimo wasafiri wanaokuja humu […]

WAKENYA KUPATA AJIRA IWAPO VYAMA VYA USHIRIKA VITAFUFULIWA

Wakenya watanufaika kwa kupata nafasi za ajira iwapo mipango iliyowekwa na serikali ya kufufua vyama vya ushirkika itafaulu. Waziri wa vyama vya ushirika na vyama ndogo ndogo Wycliffe Oparanya amesema kuwa kufufua vyama vya ushirika ni muhimu vilivyosambaratika. Oparanya aidha ameahidi kuhakikisha biashara ndogo ndogo zinalindwa kwa kuwa kulingana naye zinachangia pakubwa katika ukuaji wa […]

WAZAZI WATAKIWA KUUNGA MKONO MGOMO WA KUPPET

Wito umetolewa kwa wazazi kuunga mkono mgomo wa walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET. Katika taarifa kwa vyombo vya habari katibu mkuu wa KUPPET tawi la Transnzoia Lusweti Furaha mgomo huo utawafaidi sio tu walimu bali pia  kwa wanafunzi. Imetayarishwa na Janice Marete