MCHAKATO WA KIDIJITALI WA UNUNUZI UTAOKOA ASILIMIA 30 YA RASLIMALI ZA UNUNUZI
Serikali inatarajiwa kuokoa asilimia 30 ya raslimali za ununzi wa umma mchakato wa ununuzi utakapowekwa kikamilifu kuwa wa kidijitali ifikiapo Januari mwaka wa 2025. Kwa mujibu wa taasisi ya ugavi na usimamizi mchakato huo unatarajiwa kupunguza visa vya ulaghai katika sekta hiyo. Mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo Kenneth Matiba kwa upande wake amesema kuwa mchakato […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































