GAVANA SAKAJA APUUZA MADAI YA KUBANDULIWA KWAKE
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amepuuzilia mbali madai ya kuwepo njama ya kumban dua mamlakani. Sakaja anasema kuwa anaangazia kuwasilisha manifesto yake kwa wakaazi wa Nairobi na kwamba utawala wake unaendelea kuangazia malengo yake na hautaruhusu usumbufu kuingilia malengo yake. Imetayarishwa na Janice Marete
English 


































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































