MWANAMKE AZUILIWA JUJA KWA KUMCHOMA KISU MPENZI WAKE
Polisi huko Juja wanamzuilia Cynthia Nakato, mwenye umri wa miaka 20, kwa madai ya kumchoma kisu mara saba mpenzi wake Peter Macharia, 23, na kusababisha kifo chake katika eneo la Mastore, Juja, Januari 20, 2024. Mwili wa marehemu umepelekwa katika chumba cha maiti kwa uchunguzi wa baada ya kifo, huku polisi wakisema uchunguzi unaendelea. Kamanda […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































