MASHARTI MAPYA KWA WALIMU WATARAJIWA
Tume ya kuwaajiri walimu TSC imetoa mapendekezo mapya kwa wanaolenga kusomea kozi za ualimu katika vyuo vikuu na taasisi za mafunzo ya ualimu, ikipendekeza kwamba anayetaka kufundisha katika shule za sekondari ya juu na sekondari msingi ni sharti awe na alama ya B+ na zaidi katika masomo mawili anayotaka kufunza. Kupitia taarifa, TSC imesema kwamba […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































