MUGIRANGO: WIZARA YA AFYA YACHUNGUZA UGONJWA ‘MGENI’
Huku waathiriwa Zaidi wakiendelea kulazwa hospitalini kutokana na ugonjwa usiojulikana katika eneo la South Mugirango kaunti ya Kisii, wizara ya afya imeendeleza uchunguzi dhidi ya ugonjwa huo ambao hadi sasa umeaathiri zaidi ya watu 200. Kulingana na katibu katika wizara hiyo Mary Muthoni, sampuli zimekusanywa kutoka kwa wagonjwa na watu waliotangamana na wagonjwa, akiwahimiza wakazi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































