SALAH KUONDOKA LIVERPOOL WIKI HII
Fowadi wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri Mohammed Salah ameratibiwa kuelekea nchini Morocco atakapoongoza taifa lake katika fainali za taifa bingwa barani Afrika AFCON huku giza likigubika mustakabali wake katika klabu hiyo. Salah ambaye amegonga vichwa vya habari baada ya kulalamika hadharani kuhusu hali yake kwenye klabu ya Liverpool, aliingia kama nguvu mpya […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































