MATUMAINI YA NAIBOIS CAF YAFIFIA
Azma ya klabu ya Nairobi United kuingia awamu ya mwondoano katika dimba la mashirikisho ya CAF lipata pigo jingine hapo jana baada ya kupokezwa kichapo cha bao 1-0 nyumbani dhidi ya AS Maniema ya DR Congo. Hicho kilikuwa kichapo cha pili baada ya kupoteza mechi ya ufunguzi ya makundi wikendi iliyopita dhidi ya Wydad Casablanca. […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































