COE AELEZA KERO KUHUSU REKODI YA DUNIA YA CHEPNGETICHKUENDELEA KUSIMAMA

Rais wa Shirikisho la Riadha Duniani Sebastian Coe amesema anashiriki hisia za kukerwa zamashabiki wa riadha kuhusu rekodi ya dunia ya marathon ya wanawake inayoshikiliwa naMkenya Ruth Chepngetich kuendelea kutambuliwa, licha ya mwanariadha huyo kupigwamarufuku ya miaka mitatu.Rekodi hiyo ya saa 2 dakika 9 sekunde 56, aliyoweka Chepngetich kwenye ChicagoMarathon ya mwaka 2024, bado inatambuliwa […]

OMANYALA SPRINT CLUB YAZINDULIWA ISINYA KUINUA RIADHA YAMBIO ZA KASI

Riadha ya mbio za kasi nchini Kenya imepata msukumo mkubwa kufuatia uzinduzi waOmanyala Sprint Club mjini Isinya, Kaunti ya Kajiado.Klabu hiyo yenye malengo makubwa ilizinduliwa Jumatano katika Shule ya Merishaw,Isinya, ikiwa ni hatua muhimu katika kulea na kukuza kizazi kipya cha wanariadha wa mbiofupi.Mpango huo unaendeshwa kwa nguzo tatu kuu, huku ukuzaji wa vipaji vya […]

SERIKALI YA KITAIFA YATUMIA KSH5B KWA USAFIRI NDANI YA MIEZI 3

Serikali ya kitaifa ilitumia karibu Ksh5 bilioni kwa usafiri katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka wa kifedha wa 2025/26, licha ya ahadi za kuzuia matumizi ya fedha za umma. Ripoti ya Mdhibiti wa Bajeti inaonyesha safari za ndani ziligharimu Ksh4.09 bilioni, huku safari za nje zikigharimu Ksh877.21 milioni. Matumizi yapo chini ya kitengo cha […]

WANAOUNGA MKONO SERIKALI JUMUISHI WAONGEZEKA

Uungwaji mkono wa serikali jumuishi kati ya ODM na UDA uliongezeka maradufu katika kipindi cha miezi 6 iliyopita, ukipanda kutoka asilimia 22 mwezi Mei hadi asilimia 44 kufikia mwezi Novemba mwaka huu. Haya nu kulingana na utafiti wa shirika la TIFA, uliolenga kupata maoni kuhusu ushirikiano wa kisiasa kati ya Rais William Ruto na aliyekuwa […]

RUTO ATANGAZA SERA YA KUWALINDA “WACHACHE”

Kenya imejiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya jamii za watu wachache, rais William Ruto akitangaza kuidhinishwa kwa sera itakayotetea haki za jamii hizo. Akizungumza kwenye kikao na jamii hizo kinacheoendelea katika Ikulu ya Nairobi, Ruto ameahidi kuwa sera hiyo iliyoidhinishwa na baraza la mawaziri, itafanikisha vita dhidi ya dhuluma dhidi ya jamii hizo ikiwemo umiliki […]

DROO YA CARABAO CUP- ARSENAL, CITY, CHELSEA, PALACE, NEWCASTLE

Manchester City watachuana na bingwa mtetezi wa Carabao Cup Newcastle United katika nusu fainali za kipute hicho, zitakazochezwa kwa mikondo miwili nyumbani na ugenini mapema mwaka ujao. City walijikatia tiketi jana usiku kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Brentford, na kutinga nusu fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 2021, ambapo kabla ya […]

AKONNOR ASHUSHA PUMZI KUFUATIA USHINDI

Meneja wa Gor Mahia Charles Akonnor ameonyesha kupata afueni baada ya vijana wake kupata ushindi wa kwanza katika mechi 4 kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wapinzani wa ligi kuu ya KPL Kakamega Home Boyz. Bao la pekee la Alpha Onyango katika dakika ya 19 lilitosha kuwapa K’Ogalo ushindi muhimu na kuwawezesha kufungua pengo […]

KENYA YAENDELEA KUVUNA MEDALI ANGOLA

Kenya imefikisha jumla ya medali 17 katika mashindano ya 2025 Youth African Games nchini Angola baada ya kikosi cha wasichana wa umri usiozidi miaka 17 kinachoshiriki handiboli ya ufukweni kushinda nishani ya fedha hapo jana. Kikosi mseto cha tenisi na kile cha wavulana pia kilishinda nishani za shaba na kuongeza idadi ya medali, Kenya sasa […]

RIPOTI YA UPASUAJI WA JIRONGO 

Mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo, alifariki kutokana na majeraha ambayo yametajwa kuwa mabaya tumboni, kifuani na uti wa mgongo yaliyosababishwa na kugongwa kwa nguvu. Haya ni kulingana na ripoti ya upasuaji wa maiti uliofanywa na wanapathalojia Joseph Ndung’u na Bernard Midia wakiiwakilisha familia ya Jirongo, na mwanapatholojia mkuu wa serikali Dakta Johansen Oduor. […]

WANAFUNZI WA GREDI YA 10 KUJUA SHULE ZAO

Watahiniwa wa mtihani wa gredi ya 9 KJSEA mwaka huu watafahamu shule watakazojiunga nazo katika gredi ya 10 hapo kesho kupitia huduma ya ujumbe mfupi yaani SMS baada ya kukamilika zoezi la kuchagua shule. Katibu katika wizara ya elimu Julius Bitok, wazazi na watahiniwa hao watapewa nafasi ya kufanya marekebisho iwapo yatahitajika. Naye Waziri wa […]