SARAH WAIRIMU ATAKA KESI YAKE IANZE UPYA
Mahakama kuu inatarajiwa kutoa uamuzi wake kuhusiana na Sarah Wairimu, mshukiwa mkuu wa mauaji ya mumewe raia wa Uholanzi Tob Cohen, anayetaka iagize kesi ya mauaji dhidi yake inayoendelea katika mahakama kuu za Kibra ifutiliwe mbali na kuanza kusikilizwa upya. Katika ombi lake, Wairimu anahoji kuwa vikao vya kesi hiyo vimekumbwa na dosari mbali na […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































