WAWILI WAKAMATWA KAWANGWARE KWA KUKIUKA SHERIA ZA KMPDC
Maafisa wa upelelezi DCI wamewakamata watu 2 kwa madai ya kuendesha kituo cha matibabu bila leseni mtaani Kawangware jijini Nairobi huku msako dhidi ya vituo bandia vya matibabu ukishika kasi. Washukiwa hao akiwemo mmiliki wa kituo hicho na mshirika wake, wamekamatwa mtaani Congo wakati wa msako unaoendeshwa na baraza la kudhibiti huduma za matibabu KMPDC. […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































