MATARAJIO YA WAFANYAKAZI LEBA DEI

Huku Kenya ikijiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya wafanyakazi, Leba dei, wafanyakazi nchini wanatarajia tangazo la nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23 kutokana na ongezeko la gharama ya maisha. Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi, COTU, Francis Atwoli, amesema kuwa maafisa wakuu serikalini, wawakilishi wa mashirika na vyama mbali mbali wanatarajiwa kuhudhuria sherehe […]