RUTO AKOSOA WANAOPINGA MIRADI
Rais William Ruto amewakosoa baadhi ya viongozi wanaopinga maendeleo ya miundombinu, akisema kauli zao hazina msingi na zinapotosha umma. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Leba kaunti ya Vihiga, Rais amesema kuna wanaodai kuwa barabara zinazojengwa hazina maana, licha ya manufaa yake kwa wananchi, na kushangaa kwa nini hawakutoa maoni wakati miradi ya barabara na reli ilipokuwa ikianzishwa. Aidha, […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































