MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA HIV YAPUNGUA KENYA
Wizara ya afya imetangaza kupungua kwa maambukizi ya virusi vya HIV kwa asilimia 68. Kwa mujibu wa wizara ya afya mambukizi ya HIV kutoka kwa wamama wajawazito hadi kwa Watoto wao vile vile yamepungua kwa asilimia 65. Akizungumza katika kongamano la kuimarisha utoaji wa huduma za HIV mkuu wa idara ya afya ya familia katika […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































